Posted on: January 13th, 2023
Timu ya Biashara United iliyocheza Ligi Daraja la Kwanza iliyopo Mkoani Mara leo imekabidhiwa kwa mwekezaji mpya Free Sports Limited ili aweze kuiendeleza timu hiyo baada ya viongozi na wanachama Bias...
Posted on: January 13th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee leo amepokea nyumba ya walimu, mradi wa maji na ufadhili wa wanafunzi wenye jumla ya thamani ya shilingi 222,500,000 kutoka Shirika la Zawadi Project.
...
Posted on: January 13th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee leo amewaagiza Wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Mara kuanza kuwachukulia hatua za kisheria wazazi wa watoto ambao wanatakiwa kwenda shule lakini...