Posted on: June 3rd, 2024
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Dkt. Zabron Masatu, leo amefungua kikao cha tathmini ya utekelezaji wa kazi kwa Wasimamizi wa Elimu Mkoa wa Mara na kuwapongeza kwa kubuni kikao hicho cha kujadili...
Posted on: May 31st, 2024
Serikali imepanga kutenga maeneo ya uchimbaji na kuwagawia vijana wa eneo la Nyamongo, Wilaya ya Tarime ili waweze kujitafutia kipato cha halali kama sehemu ya kukabiliana na uvamizi wa mara kwa mara ...
Posted on: May 31st, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Evans Alfred Mtambi leo amefanya kikao na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama na kuwawataka Wakuu wa Shule za Sekondari na Walimu Wakuu wa Shule za msingi kuboresha...