Posted on: December 17th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Adam Kighoma Ali Malima ameliomba Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuwekeza zaidi katika Shamba Darasa la Mkoa wa Mara maarufu kama viwanja vya Mama Maria Nyerere vilivyopo...
Posted on: September 23rd, 2020
MARA YAJADILI MPANGO MKAKATI WA CHAKULA SHULENI
Wadau wa elimu wa Mkoa wa Mara leo tarehe 23 Septemba 2020 wamejadili rasimu ya Mpango Mkakati wa Chakula na Lishe Shuleni Mkoa wa Mara wenye l...
Posted on: September 11th, 2020
Wananchi wa Mkoa wa Mara wametakiwa kutumia maadhimisho ya Mara Day 2020 ili kujifunza mbinu bora za kilimo zitakazowasaidia kuwakomboa kiuchumi.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa A...