Posted on: June 27th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Salum Hapi leo tarehe 26 Juni 2021 ametoa tahadhali ya ugonjwa wa UVIKO 19 (Covid 19 au corona) kwa wananchi wa Mkoa wa Mara.
Akizungumza na waandishi wa habari...
Posted on: June 26th, 2021
TEHAMA KUONDOA MADALALI KWA WAKULIMA BUTIAMA
Wilaya ya Butiama imeanza kutumia jukwaa la Mobile Kilimo (M-Kilimo) kuwaondoa madalali wa mazao ya kilimo ili kuweza kuwanufaisha wakulima, wafugaji na...
Posted on: June 26th, 2021
Mwenge wa Uhuru unaoendelea na mbio zake katika Mkoa wa Mara umefika nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kuwasha mwenge wa asili unaofahamika kama Mwenge wa Mwitongo.
Mwe...