Posted on: May 15th, 2025
Afisa Utamaduni Mkoa wa Mara mwalimu Makondo Makondo amelishukuru Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kutoa mafunzo kwa Maafisa Biashara Mkoa wa Mara, akisema mafunzo haya yanasaidia kutoa mwanga wa...
Posted on: May 15th, 2025
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Utafiti na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bwana Mrisho Mrisho amesema Mkoa wa Mara una fursa nyingi kwa kazi za Sanaa kutokana na kuwepo kwa Hifadhi ya Taifa ...
Posted on: May 15th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi leo amepokea tuzo za ubora wa huduma zilizotolewa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na TAMISEMI kwa vituo viwili vya kutolea huduma za afya katika...